Bongo Fc


Habari                                                                                                        

Wenger amtega Ozil

kocha wa arsenal, arsene wenger amedai ana uhakika kiungo wake mesu ozil ana nia ya kuendelea kukipiga klabuni hapo licha ya mkataba wake kutaraji...         


Guardiola ahofia kumpoteza Kevin De Bruyne

meneja wa manchester city pep guardiola anahofu kuwa mwanzo mzuri wa kevin de bruyne katika kampeni hizi unaweza kuivutia barcelona kumsajili. ...         


Kocha Azam, apania kuifunga Mbao FC

kocha wa klabu ya azam fc, aristica cioaba, amesema mchezo unaofuata dhidi yao na mbao fc, utakuwa sawa na vita kutokana na matokeo mabaya ya sare...         


Isco ampa tuzo Ronaldo

kiungo wa real madrid francisco román alarcón suárez maarufu kama isco amesema mchezaji pekee anayestahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa duni...         


Okwi, afurahia Simba kubaki kileleni

mshambuliaji wa simba emmanuel okwi, amesema pamoja na kushindwa kupata ushindi mbele ya mtibwa sugar jumapili iliyopita, lakini anajivunio kuona ...         


Mahrez kwenye rada za Arsenal na Spurs

winga wa leicester city riyad mahrez bado ni shabaha ya paundi milioni 30 kwa arsenal na tottenham hotspur majira ya baridi, kwa mujibu wa habari....         


Nduda kupumzika miezi 2 baada ya upasuaji wa goti India

kipa wa pili wa simba, said mohammed 'nduda' atakuwa nje kwa miezi miwili baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti wiki iliyopita nchini india. dakt...         


Barca yajipanga kuibomoa Bayern kwa kiungo huyu

barcelona imeanza kumnyemelea kiungo wao wa zamani, thiago alcantara (26), anayekipiga bayern munich kama wakishindwa katika mbio zao za kumchukua...         


Kipa wa Mtibwa: Okwi hatari

kipa wa mtibwa sugar, benedict tinoco amesema hakupata misukosuko mikubwa walipocheza na simba, ila amempa sifa emmanuel okwi kuwa ni mshambuliaji...         


Hatimaye Icardi avunja rekodi ya Diego Milito ndani ya Milano Derby tangu 2012

inter millan waliibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya wapinzai wao wa jadi ac millan katika mchezo wa ligu ya italia serie a huku mshambuliaji m...         


Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.