Bongo Fc


Habari                                                                                                        

Wilshere, Sturridge, Draxler kupigwa bei

jack wilshere, daniel sturridge na julian draxler ni miongoni mwa majina ya wachezaji nyota 10 wanatakiwa kuzihama klabu zao katika dirisha dogo l...         


De Gea, Neuer kulikoni tuzo ya dunia?

na: omary ramsey mwaka 2012 pale allianz arena, nilimwona manuel neuer akipigiwa saluti na zaidi ya watu 65,000. hiyo ndiyo heshima kubwa wajer...         


Mourinho aivuruga Barcelona

kocha wa manchester united, jose mourinho amedaiwa kuwa katika mipango kabambe ya kutaka kuwasajii nyota wawili wa barcelona, samuel umtiti na ser...         


Hatimae Griezmann aomba radhi kwa hili

winga wa klabu ya atletico madrid na timu ya taifa ya ufaransa antoine griezmann ameomba radhi baada watu wengi kuonesha kukerwa na kitendo chake ...         


Gwiji wa Brazil, Ricardo Kaka atangaza rasmi kustaafu soka

mwanasoka nyota wa brazil, ricardo izecson dos santos leite 'kaka' ametangaza rasmi kustaafu. kaka mwenye umri wa miaka 35 sasa, msimu uliopita...         


Matola adai hazihofii Simba, Yanga Kwasi akisepa

kocha wa lipuli ya iringa, suleiman matola, amesema hana hofu ya kikosi chake kuendelea kuzisumbua klabu za simba na yanga watakapokutana tena. ...         


Z'bar Heroes haikuwa riziki

kipa wa timu ya taifa ya kenya (harambee stars), matasi patrick, ameibuka shujaa kufuatia kupangua penalti tatu na kuipa timu yake ubingwa wa komb...         


Msuva asikitishwa na Stars kufanya vibaya Challenge

mchezaji wa kimataifa wa tanzania, simon msuva anayechezea klabu ya difaa hassan el- jadida ya morocco, amesikitishwa na matokeo mabaya ya timu ya...         


Iniesta adai haitapendeza Neymar kwenda Real

kiungo mkongwe wa barcelona, andres iniesta amesema hana hofu kuhusu neymar kujiunga na real madrid lakini akakiri kuwa ikitokea hivyo haitampende...         


Z'bar Heroes yaifuata Kenya kibabe Fainali

zanzibar heroes imetinga fainali ya kombe la chalenji kibabe kwa kuwavua ubingwa uganda kwa kuichapa kwa mabao 2-1 katika mchezo wa nusu fainali y...         


Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.