Bongo Fc


Habari                                                                                                        

Ali Mayay: Juuko amezidi

nyota wa zamani wa yanga na taifa stars, ally mayay, ambaye sasa ni mchambuzi wa soka wa kituo cha azam tv, ameshangazwa na rafu anazofanya beki j...         

bongofc.com

Stand United yapania kuvunja mwiko Mbeya

stand united haijawahi kupata ushindi kwenye uwanja wa sokoine tangu imependa ligi kuu, lakini imeweka wazi wanataka kuvunja mwiko huo kesho, juma...         

bongofc.com

Mfahamu Alaa Ahmed, Mchezaji aliyepiga soka dakika 90 huku jana yake akitoka kufiwa na mwanae

na: omary ramsey, bongofc hii imetokea nchini iraq siku ya jana na ni kati ya habari ambazo hii leo imewagusa wengi sana na wengi wameku wakiis...         

bongofc.com

Mourinho kutafuta mbadala wa Michael Carrick

meneja wa manchester united, jose mourinho amesema kuwa kunahaja ya kusajili kiungo mwingine kipindi cha majira ya joto atakae rithi mikoba ya mic...         

bongofc.com

Azam yashindwa kuisogelea Yanga

azam fc imepoteza nafasi ya kuisogelea yanga baada ya kulazimishwa sare tasa na lipuli kwenye uwanja wa samora mchezo uliopigwa jana ijumaa. az...         

bongofc.com

Lukaku kutimkia Andelecht

mshambuliaji romelu lukaku ameahidi atarudi tena kuichezea andelecht mara tu maisha yake ya manchester united yatakapofika ukingoni. fowadi huy...         

bongofc.com

Wenger adai anakomaa Arsenal mwanzo mwisho

arsene wenger amesema ataendelea kuwa arsenal hadi mwisho wa mkataba wake. mfaransa huyo amesaini mkataba wa miaka miwili msimu uliopita wa kuend...         

bongofc.com

Hatimaye Okwi amaliza ukame wa mabao nyavu za Mkoani

hatimaye emanuel okwi amefunga goli la kwanza nje ya dar kwa mara ya kwanza tangu msimu huu (2017/18) umeanza. licha ya kuongoza kwa kupasia ny...         

bongofc.com

Mkude lawamani sare ya Simba Shinyanga

baada ya simba kulazimishwa sare ya kufungana 2-2 na mwadui mkoani shinyanga, baadhi ya mashabiki wametupa lawama zao kiungo wao jonas mkude ambay...         

bongofc.com

Kumekucha! Real yamtaka Pogba

real madrid ipo tayari kumsajili paul pogba, lakini wanatakiwa kutoa zaidi ya pauni120milioni kwa manchester united. real ilimkosa kiungo huyo ...         

bongofc.com

Makala                 

Highlights                          

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.