Bongo Fc


Habari                                                                                                        

Liverpool yamuonya Sturridge

kocha wa liverpool jurgen klopp, amemtaka mshambuliaji daniel sturridge kuelekeza nguvu katika kikosi hicho. kauli ya klopp imekuja muda mfupi ...         


Beki City kuwakosa Man Utd, Spurs

kikosi cha pep guardiola kimepata pigo katika safu ya ulinzi baada ya beki wake john stones kulazimika kukaa nje kwa wiki sita. beki huyo wa en...         


Chirwa agawa zawadi Yanga

mshambuliaji wa yanga, obrey chirwa, amewapa neno la faraja mashabiki wa timu hiyo kuwa wategemee mabao mengi zaidi kwenye mechi zijazo za ligi ku...         


Rooney, Coleen sasa mambo safi!

staa wa soka nchini england, wayne rooney amefanikiwa kurejesha ndoa yake na coleen ambayo ilikuwa inaelekea kuvunjika kufuatia matendo yake ya ov...         


Guardiola agoma

kocha wa manchester city pep guardiola, amegomea sifa na kusema timu yake bado haistahili sifa za kuwa miongoni mwa timu zenye nafasi ya kutwaa ub...         


Siri ya ushindi wa Simba kwa Prisons yafichuka

nahodha wa prisons, laurian mpalile, amefichua siri ya kufungwa bao 1-0 na simba katika mchezo wa ligi kuu tanzania bara, uliochezwa kwenye uwanja...         


Omog awaambia Young Africans wasahau kuhusu “Mo”

kocha wa vinara wa ligi kuu ya soka tanzania bara wekundu wa msimbazi simba joseph marious omog, ametangaza msimamo wake kuhusu mustakabali wa kiu...         


Picha: Liverpool wakijiandaa kuivaa Sevilla ligi ya mabingwa leo

mohamed salah (wa pili kulia) akifurahia na wenzake mazoezini jana wakati liverpool ikijiandaa na mchezo wa kundi e ligi ya mabingwa dhidi ya weny...         


Simba na Yanga kuhamia Chamazi

mechi za ligi kuu bara wikiendi ijayo ambazo zitazihusu klabu kongwe mbili simba na yanga zitachezwa uwanja wa azam complex, chamazi mjini dar es ...         


Wenger akitoka tu hawa wanaingia

na: omary ramsey pep guardiola pengine unaweza kuona hili linaweza kuwa gumu, lakini ukweli ni kwamba kama manchester city haitachukua ubing...         


Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.