Bongo Fc


Habari                                                                                                        

Kaka wa Ronadinho atangaza rasmi, Ronaldinho kustaafu soka

nyota wa zamani wa timu ya taifa ya brazil na vilabu vya psg, barcelona na ac milan ronaldo de assis moreira maarufu kama ronadinho gaucho amestaa...         


Mikosi yamwandama Chirwa

wakati bado akiwa na kumbukumbu mbaya ya kukosa penalti ya mwisho kwenye mchezo wa nusu fainali ya kombe la mapinduzi dhidi ya ura, mshambuliaji w...         


Tatizo ni Zidane au Ronaldo?

ni kama upepo mchafu umeendelea kuvuma kutoka upande mmoja wa santiago bernabeu kuelekea upande mwingine. ni kama daraja la wafalme wa nchini hisp...         


Refa ampiga teke mchezaji Ufaransa na kumpa kadi nyekundu

refa mfaransa, tony chapron usiku wa jana amefanya kituko cha aina yake baada ya kumpiga teke beki wa nantes, diego carlos kabla ya kumuonyesha ka...         


Ryan Giggs apata ukocha mkuu timu ya taifa

gwiji wa zamani wa timu ya taifa ya wales pamoja na klabu ya manchester united ryan giggs anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka 4 kama kocha mpya w...         


Pluijm meno nje, Simba wamekwisha..

kocha wa singida united, hans van der pluijm, ni kama ameiandalia simba kipigo cha mabao ya njia ya krosi kutokana na mazoezi aliyokuwa anawapa ti...         


Mjue Kocha mpya Simba SC – Hubert Velud

na: omary ramsey huyu ndio kocha mpya aliyeletwa nchini na boss wa wekundu wa msimbazi bilionea mohamedi dewji akitokea nchini ufaransa. hubert...         


Simba yafuata dawa Moro kufuta ‘Gundu’

kocha wa simba, masoud djuma, amesema kuwa kambi ya siku tano wanaliyoenda kuiweka mjini morogoro ni kwa ajili ya kukiweka sawa kikosi chake kabla...         


Hatimaye Sanchez akamilisha uhamisho kwenda Man United

imeripotiwa kuwa mshambuliaji wa arsenal alexis sanchez amefikia makubaliano na manchester united kwa ajili ya uhamisho wa januari. sanchez ata...         


FC Barcelona watoa ‘gundu’ lililodumu miaka 11 La Liga

klabu ya barcelona jana imefanikiwa kupata ushindi wa goli 4-2 kwenye mchezo wa ligi kuu nchini humo (la liga) dhidi ya real sociedad. magoli y...         


Makala                 

Highlights                          

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.