Bongo Fc


Habari                                                                                                        

Liverpool yaisimamisha Man City Uingereza

jurgen klopp amesimamisha utawala wa pep gurdiola premier league, baada ya michezo 30 bila kupoteza mechi hata moja hatimaye hii leo liverpool wam...         


Real yachapwa, Zidane njia panda

na: omary ramsey wakati mwingine maisha huwa yanaamua tu kuwa magumu. ni kama ambavyo yamemgeuka kocha wa real madrid, zinedine zidane. mais...         


Wanawake Saudi Arabia waandika historia kwenye uwanja wa mpira

wanawake nchini saudi arabia wameushangaza uwanja wa mpira wa miguu baada ya kuingia ndani na kushangilia mchezo huo kwa mara ya kwanza katika his...         


Cheki mkeka wa Owen mechi za EPL

na: omary ramsey nyota wa zamani wa liverpool, michael owen ameweka utabiri wake kuhusu mechi za ligi kuu england zitakazopigwa jumapili hii, h...         


Neymar sasa ni Neymoney, paundi milioni 357 kumpeleka Real

na: omary ramsey aliyekuwa mchezaji wa barcelona anayekipiga kwa matajiri wa ufaransa klabu ya paris saint-germain inayomilikiwa na mfanyabiash...         


Pep apania kuivuruga Liverpool Anfield J'pili hii

na: omary ramsey liverpool iliokota mipira mara tano kwenye wavu wao mara ya mwisho ilipokutana na manchester city kwenye ligi kuu england, hiv...         


Azam yatwaa ubingwa Kombe la Mapinduzi

na: omary ramsey azam imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa kombe la mapinduzi baada ya kuifunga ura kwa penalty 4-3 katika mchezo wa fainali uli...         


Ozil akitua Man Utd atakuwa amazing!

nyota wa zamani wa arsenal, ian wright amesema kama kuna sehemu ambayo mesut ozil atakwenda kuwa mtamu na kila mtu atampenda kwa soka lake basi ni...         


Kocha Simba aishi kifahari D’salaam

simba inajiweza kifedha kwa sasa asikwambie mtu. katika kuthibitisha hilo imempa maisha ya kifahari kocha wake, masudi djuma, japo taarifa za chin...         


Rais TFF aendelea kuaminiwa Afrika

rais wa shirikisho la mpira wa miguu tanzania (tff) ndugu wallace karia ameteuliwa na shirikisho la mpira wa miguu barani africa caf kuwa kamishna...         


Makala                 

Highlights                          

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.