Bongo Fc


Habari                                                                                                        

City waweka historia nyumbani

klabu ya manchester city, imeweka rekodi ya kushinda michezo 16 mfululizo kwenye uwanja wa nyumbani na kuifikia rekodi ambayo waliiweka miaka 100 ...         


Ajibu aomba radhi Yanga

baada ya kipigo cha penalti 5-4 dhidi ya ura, juzi mshambuliaji wa yanga, ibrahim ajibu migomba ameom­ba radhi kwa mashabiki wa timu hiyo kuto­k...         


Man United yapanga kuiharibia Man City kwa Sanchez

klabu ya manchester united inadaiwa kuingilia kati usajili wa alexis sanchez ambaye amekuwa anawindwa kwa ukaribu zaidi na majirani zao manchester...         


Kocha Azam: Azam bingwa kombe la Mapinduzi

kocha mkuu wa azam fc, aristica cioaba, amesema anauhakika timu yake itatetea ubingwa wake wa kombe la mapinduzi kutokana na ari waliyokuwa nao wa...         


Pluijm sasa aipania Simba

baada ya kutupwa nje kwenye hatua ya nusu fainali ya kombe la mapinduzi, kocha wa singida united, mholanzi hans van der pluijm, amesema kazi inayo...         


UEFA watangaza kikosi bora cha mwaka 2017, EPL yafunikwa na La Liga

shirikisho la soka barani ulaya (uefa) jana alhamisi januari 11 limetangaza kikosi bora cha wachezaji 11 cha mwaka 2017 ambapo kwenye kikosi hicho...         


Utata waibuka tuta la Chirwa lililoing'oa Yanga

wakati mashabiki wa yanga wakiugulia maumivu ya kutolewa kwa mara nyingine katika hatua ya nusu-fainali ya kombe la mapinduzi, huenda wakafarijika...         


Djuma atishia nafasi ya Kichuya Simba

kaimu kocha mkuu wa timu ya simba, masoud djuma, ametishia nafasi ya winga shiza kichuya, baada ya kuamua kutoa nafasi kwa kila mchezaji wa simba ...         


Xavi: Real Madrid hawataki kucheza soka la kuvutia

legendari wa barcelona xavi ameukosoa mfumo wa uchezaji wa real madrid kwa kudai kuwa kwa miaka mingi hauna mvuto. mchezaji aliyeitumikia miaka...         


Francis Coquelin wa Arsenal akubali kutua Valencia kwa £10.5m

kiungo wa arsenal francis coquelin ameripotiwa kuwa amekubali kuhamia valencia. kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na mchezaji huyo vimedai kuwa benc...         


Makala                 

Highlights                          

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.