Bongo Fc


Habari                                                                                                        

Lukaku akasirishwa na tuhuma za ushirikina, akimbilia mahakamani

moja kati ya habari kubwa duniani siku ya jana ni kumhusu romelu lukaku, baada ya moja ya wakurugenzi wa everton kudai mwanasoka huyo alitumiwa u...         


Sababu Yanga kutolewa Mapinduzi

umakini wa safu ya kiungo na ulinzi ya timu ya ura uliiwia vigumu mabingwa wa soka nchini yanga kuweza kupata ushindi kwenye dakika 90 za mchezo w...         


Kocha Simba ampiga biti Kwasi

benchi la ufundi la simba chini ya kaimu kocha wake mkuu, masoud djuma, raia wa burundi, limempa tahadhari beki mpya wa timu hiyo, asante kwasi, r...         


Gerrard amtumia ujumbe mzito Coutinho

ikiwa ni takribani siku moja sasa baada ya kiungo wa brazil philippe coutinho kusaini mkataba wa kuichezea klabu ya barcelona akitokea liverpool, ...         


Azam FC yawatoa hofu mashabiki

ikiwa leo ndio nusu fainali ya michuano ya kombe la mapinduzi inayoendelea visiwani zanzibar, kocha msaidizi wa azam fc idd cheche amesema mashabi...         


Uchambuzi: Rekodi zinaonesha Klopp atawafanya mumsahau Coutinho

tayari philippe coutinho amesaini mkataba wa kuitumikia barcelona hadi mwaka 2023 huku wiki 3 za mwanzo atakuwa nje kutokana na majeruhi, hii ni h...         


Nyota Man United ahusishwa na imani za kishirikina

mapya yameibuka baada ya moja kati ya matajiri wa klabu ya everton farhadi moshri kuibuka na kutaja masuala ya ushirikina kuwa kati ya mambo ambay...         


Zidane: Siogopi kutimuliwa Madrid

kocha wa real madrid mfaransa zinedine zidane amesema hana presha na kazi yake kwani anajua hawezi kuwa kocha wa timu hiyo kwa miaka kumi hivyo ut...         


Usain Bolt kufanya majaribio ya soka Ujerumani

usain bolt amesema ameamua kufanya majaribio na klabu ya soka ya ujerumani, borussia dortmund baada ya kustaafu mbio ya sprint. akiongea na dai...         


Simba wampigia hesabu Pluijm

simba wameshatua jijini dar es salaam wakitokea zanzibar, baada ya kutupwa nje ya michuano ya kombe la mapinduzi, lakini wamerejea wakiwa na jina ...         


Makala                 

Highlights                          

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.