Bongo Fc


Habari                                                                                                        

Kichuya atamka kitu kwa Okwi

winga wa simba, shiza kichuya, ametamka kitu kimoja kwamba, kulingana na mchuano wa kuwania kiatu cha ufungaji bora msimu huu, anaimani kama hakit...         


Emery akalia kuti kavu PSG

kocha wa paris saint germain (psg), unai emery, huenda akafukuzwa kazi muda wowote baada ya kushindwa kufikia matarajio ya mabosi wake ndani ya kl...         


Azam kushusha vifaa viwili kutoka Ghana, Zambia

klabu ya azam imepanga kuleta wachezaji wawili wa kimataifa kutoka nchi za ghana na zambia ili kupata straika mmoja kati yai atakayemrithi yahaya ...         


Kipa Denmark asononeka kuwakosa mashabiki Ireland

kipa wa timu ya taifa ya denmark, kasper schmeichel amesema kuwa kwa mara ya kwanza watawakosa mashamsham ya mashabiki wa ireland katika fainali z...         


Hali ya Samatta yaendelea kuimarika (+Picha)

mshambuliaji wa timu ya taifa ya tanzania na klabu ya krc genk, mbwana samatta ameanza kuonekana akifanya mazoezi mepesimepesi ya kutembea kwa kut...         


TANZIA: Ndikumana afariki dunia ghafla baada ya mazoezi

rayon sports imethibitisha kwamba hamad ndikumana ambaye ni mzazi mwenza wa msanii wa filamu wa tanzania, irene uwoya amefariki dunia ghafla leo ...         


Arsene Wenger awaza kufundisha timu ya Taifa

arsene wenger amedokeza kuwa anaweza kuhamia kwenye ukocha wa timu za taifa atakapomaliza kibarua chake arsenal. mkongwe huyo wa miaka 68 ameba...         


Aguero azimia uwanjani mechi ya Argentina

mshambuliaji huyo aliwatoa jasho albiceleste juu ya afya yake baada ya kupoteza fahamu katikati ya mechi na kuwahishwa hospitali. sergio aguero...         


Mourinho asaka beki mpya

siku za beki luke shaw kubaki manchester united zinahesabika, baada ya jose mourinho kurusha ndoano kwa kinda enzo diaz. licha ya umri mdogo, k...         


Mane, Clyne waacha pengo Liverpool

kocha wa liverpool, jurgen klopp ana hofu ya kuwakosa nyota wake sadio mane na nathaniel clyne muda mrefu. mane na clyne wanaweza kuwa nje ya u...         


Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.