Bongo Fc


Habari                                                                                                        

Marseille yamtupia virago Evra

beki patrice evra ametimuliwa na klabu yake ya marseille huku uefa ikimfungia miezi saba kwa kumpiga teke la kung-fu shabiki. shirikisho la sok...         


Wenger adaiwa yupo bize kusaka majembe

kocha, arsene wenger ameripotiwa kwa sasa yupo bize kweli kutazama staa gani wa kumwingiza kwenye kikosi chake wakati wa usajili wa januari. ba...         


Hatimaye limetimia, Afcon kupigwa miji minne Bongo

kazi imeanza. miji ya arusha, mwanza, dodoma na dar es salaam ndiyo inapigiwa hesabu ya viwanja vyake kutumika kwenye fainali za kombe la mataifa...         


Lampard kuwa bosi mpya Chelsea?

na: omary ramsey mchezaji wa zamani wa chelsea, frank lampard, amesema angependa kushirikiana na klabu hiyo ikiwa ni pamoja na kuziba pengo lil...         


Ulimwengu kutua Yanga

wakati dirisha dogo la usajili ligi kuu bara likitarajiwa kufunguliwa keshokutwa, yanga iko mbioni kumsajili mshambuliaji wa zamani wa tp mazembe ...         


Maguli aisawazishia Taifa Stars, yapata sare 1-1 na Benin (+VIDEO)

tanzania imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, benin katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa l'amitie, au urafiki mjini coton...         


Ronaldo sasa ni 'baba wanne', mpenzi wake ajifungua mtoto wa kike

mwanasoka nyota, cristiano ronaldo wa real madrid ya hispania, amesherehekea kuzaliwa kwa mtoto wake wa nne. mchezaji huyo mwenye umri wa miaka...         


Omog adai atahakikisha analitumia dirisha dogo la usajili kukiboresha kikosi chake

kocha mkuu wa simba joseph omog amesema atalitumia dirisha dogo la usajili kwa ajili ya kuziba nafasi chache zilizoonesha mapungufu kwenye mechi 9...         


Joseph Kimwaga aungana na Shaaban Idd Azam

mshambuliaji wa azam, joseph kimwaga anatarajiwa kurejea dimbani mapema mwezi disemba baada ya kufanyiwa matibabu ya jeraha la paja lililokua liki...         


Man United bado kunafukuta

romelu lukaku ameingia katika mzozo na wachezaji wenzake wa manchester united baada ya kipigo cha timu yao kwenye uwanja wa stamford bridge. lu...         


Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.