Bongo Fc


Habari                                                                                                        

Abramovich aanza kumchunguza Conte ugomvi na wachezaji

mmiliki wa chelsea, mrusi roman abramovich ameanza uchunguzi wa kinachoendelea katika mahusiano ya kocha mtaliano antonio conte na beki mbrazil, d...         


Sababu zaidi za Neymar kwenda Real Madrid hizi hapa..

utabiri wa kwamba nyota neymar ataondoka paris saint-germain kwenda real madrid umezidi kupewa nafasi, safari ikidaiwa mahusiano yasiyoridhisha na...         


Mayanga: Tutashinda ili kumfariji Samatta

kocha mkuu wa taifa stars salum mayanga, amesema ametamba kuwa kikosi chake kinaweza kushinda mchezo dhidi ya benin, bila uwepo wa nahodha na msha...         


Adidas wazindua mpira mpya wa Kombe la Dunia

shirikisho la soka duniani (fifa) limeutangaza mpira mpya wa adidas telstar 18, ndiyo utakaotumika katika kombe la dunia 2018 russia. mpira huo...         


Ndemla kutua nchini Sweden leo kwa majaribio timu ya Ulimwengu

kiungo wa simba, said ndemla, jana alifanikiwa kupanda ndege kwenda nchini sweden katika timu ya afc eskelistuna kwa ajili ya kufanya majaribio ya...         


Zimbabwe, Libya kushiriki Chalenji

timu za soka za taifa za zimbabwe na libya zimethibitisha kushiriki michuano ya kombe la chalenji, inayotarajiwa kuanza novemba 25, mwaka huu, nch...         


Marko Arnautovic kukumbana na rungu la David Moyes

klabu ya west ham united imemkabidhi rungu la kuhakikisha anasafisha kikosi chake kwa kuwaondoa wachezaji wote wanaoonekana kucheza kwa kiwango ch...         


Morata atoboa siri Chelsea

mshambuliaji alvaro morata amesema zinedine zidane ndiye aliyemshauri akajiunge na chelsea badala ya manchester united. mshambuliaji huyo usaji...         


Noma sana!! Mastraika Simba kila bao mil.14

klabu ya simba imejikuta katika hasara kubwa baada ya mastraika wake wanne wanaolipwa jumla ya sh19.3 milioni kwa mwezi kufunga mabao manne tu tan...         


Paul Pogba mbioni kurudi Dimbani

habari njema kwa mashabiki wa manchester united ni kwamba pogba anarejea kuongeza makali ya mashetani wekundu. kiungo wa manchester united paul...         


Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.