Bongo Fc


Moyes atiliwa shaka west ham

Mwenyekiti wa Klabu ya West Ham United, David Sullivan amesema ana hofu na uwezo wa kocha mpya David Moyes.

Sullivan ambaye ni mmoja wa wamiliki wa klabu hiyo alisema hana uhakika kama Moyes ni chaguo sahihi katika kikosi hicho kutokana na historia yake.
Sullivan alisema kocha huyo mwenye miaka 54 anampa presha kama anaweza kumpiku Billic katika kikosi hicho msimu huu.

Alisema Moyes ni kocha bora aliyeipa mafanikio Everton kwa miaka 10 kabla ya kupata dosari alipotua Manchester United na baadaye Sunderland.


Facebook Twitter

Match Highlights                  

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.