Bongo Fc


Marko arnautovic kukumbana na rungu la david moyes

Klabu ya West Ham United imemkabidhi rungu la kuhakikisha anasafisha kikosi chake kwa kuwaondoa wachezaji wote wanaoonekana kucheza kwa kiwango cha chini klabuni hapo kocha wake, David Moyes.

West Ham hivi karibuni ilimuondoa kazi aliekua kocha wake mkuu, Slaven Bilic na kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa wachezaji wa klabu hio, Bilic hakua mkali kuwakemea wachezaji wake walipokua wakichelewa mazoezini.

David Moyes anatarajiwa kumuacha Marko Arnautovic alieonesha kiwango duni msimu huu baada ya meneja huyo kuwashiwa taa ya kijani na West Ham ya kuhakikisha anamuondoa kikosini mchezaji yeyote mwenye kiwango cha chini.


Facebook Twitter

Match Highlights                  

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.