Bongo Fc


Abramovich aanza kumchunguza conte ugomvi na wachezaji

Mmiliki wa Chelsea, Mrusi Roman Abramovich ameanza uchunguzi wa kinachoendelea katika mahusiano ya kocha Mtaliano Antonio Conte na beki Mbrazil, David Luiz kufuatia kujiuzulu kwa Mkurugenzi wa Ufundi, Mnigeria Michael Emenalo juzi.

Conte anadaiwa kumuweka benchi Luiz kwenye mchezo uliopita The Blues wakishinda 1-0 dhidi ya Manchester United – kwa kuhoji mambo fulani fulani ya kiufundi mazoezini kuelekea kwenye mechi hiyo ya Ligi Kuu ya England.

Na hii ni kufuatia hali ya wasiwasi inayoibuka juu ya tabia ya Conte kugombana na wachezaji, baada ya awali kuhitilafiana pia na Diego Costa.


Facebook Twitter

Match Highlights                  

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.