Bongo Fc


Man utd yawashangaza arsenal nyumbani, yawapiga bao 3-1

Jesse Lingard akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika za 11 na 63 ikiwalaza wenyeji, Arsenal 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Emirates, London.

Bao lingine la Man United iliyomaliza pungufu baada ya kiungo wake, Paul Pogba kutolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja dakika ya 74 kwa kumchezea tafu Hector Bellerin, lilifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 49 akimalizia pasi ya Aaron Ramsey.


Facebook Twitter

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.