Bongo Fc


Man united wako tayari ligi ya mabingwa, jones arejea kundini

Manchester United imefanya mazoezi yake ya mwisho kabla ya kuibaa CSKA Moscow ya Russia katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Mechi hiyo itapigwa leo kwenye Uwanja wa Old Trafford jijini Manchester.

Beki Phill Jones amerejea na huenda Kocha Jose Mourinho anaweza kumtumia katika mechi hiyo wakitaka kushinda baada ya kumbukumbu ya kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Basle ya Uswiss.

Katika mechi ya kwanza dhidi ya CSKA, Man United ikiwa genii ilishinda kwa mabao 4-1.


Facebook Twitter

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.