Bongo Fc


Adebayor ajipoza na penzi la mrembo wa bba

Mapenzi hayafichiki! Ha­timaye mambo y a m e ­jidhihirisha kuwa mwanasoka Mto­go, Emmanuel Adebayor, am­baye anai­chezea Klabu ya ?stanbul Ba?ak?ehir ya nchini Utu­ruki, anatoka kimapenzi na mwanadada mrembo mshindi wa Big Brother Afri­ca 2013, Dillish Math­ews.Wawili hao wame­kuwa wakitoka kwa siri kwa muda mrefu, lakini hivi karibuni walijikuta wakitoa siri bila kujua.

Dillish alituma picha kwenye mitandao akidai ana­kwenda Uturuki, lakini kwa bahati mbaya kesho yake Adebayor naye akatuma picha ikionyesha miguu yao ikiwa karibu, hatua iliyo­fanya watu kugundua penzi hilo lililokuwa linahis i wa kwa muda mrefu , kwa kuwa walikuwa wameona viatu vya mrembo huyo kabla.

Adebayor ana mtoto mmoja wa kike, wakati mpenzi wake Dillish inafahamika hana mtoto kwa sasa.


Facebook Twitter

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.