Bongo Fc


Bristol yaangukia mikononi mwa man city nusu fainali carabao cup

Droo iliyopangwa muda mfupi baada ya mechi za robo fainali ya Carabao Cup imeimaliza nguvu Bristol City baada ya kujikuta ikipangwa na Manchester Cit vinara wa Ligi Kuu England.

Chelsea iliibua na ushindi wa mabao 2-1 ddidi ya AFC Bourne mouth. Michezo ya juzi Jumanne, Arsenal iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya West Ham United huku Leicester City walitoaka sare ya bao 1-1 dhidi ya Manchester City.


Facebook Twitter

Match Highlights                  

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.