Bongo Fc


Kikosi cha simba vs jamhuri hiki hapa

Kikosi cha Simba kimeanika wachezaji wake watakao ingia Uwanjani hii leo kuvaana na timu ya Jamhuri FC katika Kombe la Mapinduzi linaloendelea huko visiwani Zanzibar.

Kupitia afisa habari wa klabu hiyo Haji Manara ameweka hadharani wachezaji hao watakao cheza na Jamhuri.

LINE UP – SIMBA SC Vs Jamhuri
04.01.2018.

1.Emanuel Mseja- 30
2.Erasto Nyoni- 18
3.Shiza Kichuya- 25
4.Juuko Murshid-06
5 Asante Kwasi- 16
6.James Kotei – 03
7.Nicholas Gyan- 29
8. Yassin Mzamiru-19
9.Moses Kitandu – 35
10.John Bocco-22
11.Mwinyi Kazimoto -24

SUBS.
1. Ally Salim- 31
2.Jonas Mkude – 20
3.Said Hamisi -13
4.Yusufu Mlipili-05
5.Jamal Mwambeleko -26
6.Mohamed Ibrahim-04
7.Kelvin Faru – 40
8.Laudit Mavugo -11.


Facebook Twitter

Match Highlights                  

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.