Bongo Fc


Baada ya liverpool kumuuza coutinho huyu ndiye anayetarajiwa kumrithi

Kwa mashabiki wa Liverpool siku ya jana na leo wapo katika kipindi kigumu baada ya Mshambuliaji wao, Philippe Coutinho kuikacha timu hiyo na kutimkia klabu ya Barcelona.

Habari nzuri ni kwamba Liverpool tayari wapo kwenye mazungumzo na Klabu ya Leicester City kumnunua mshambuliaji wa klabu hiyo, Riyad Mahrez ili kuziba pengo hilo.

Kwa mujibu wa Mtandao wa Bein Sport umeeleza kuwa Mahrez leo ametua Liverpool kwa vipimo na usajili wake ni wa dau la Euro mi;lioni 55 na utadumu hadi 2022.


Facebook Twitter

Match Highlights                  

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.