Bongo Fc


Jezi mpya za uingereza kombe la dunia nchini urusi (+picha)

Timu ya taifa ya Uingereza imeanika rasmi jezi zake mpya za nyumbani na ugenini watakazo tinga wakati wa kombe la dunia nchini Urusi mwaka huu.

Wachezaji wa Uingereza, Marcus Rashford na Raheem Sterling wamepata bahati ya kuvaa jezi hizo zilizotengenezwa na mkapuni ya Nike zikiwa zina fanana na za mwaka 1982.
Facebook Twitter

Match Highlights                  

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.