Bongo Fc


Baada ya kutimuliwa ufaransa, evra arejea england na kujiunga na west ham

West Ham chini ya Kocha David Moyes imemsajili beki wa zamani wa Man United, Patrice Evra.

Evra mwenye umri wa miaka 36, amejiunga na West Ham ikiwa ni siku chache baada ya kufukuzwa Marseille ya kwao Ufaransa baada ya kumvamia shabiki.Beki huyo wa kushoto aliyewahi kung’ara na timu ya taifa ya Ufaransa pia, amekabidhiwa jezi namba 27 ambayo ilikuwa inavaliwa na Mfaransa mwenzake, Dimirti Payet.


Facebook Twitter

Match Highlights                  

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.