Bongo Fc


Luis enrique akaribia kuchukua nafasi ya conte chelsea

Kocha Luis Enrique anaonekana yuko tayari kuchukua nafasi ya Antonio Conte klabu ya Chelsea huku taarifa nchini Hispania zikisema kwamba kocha huyo wa zamani wa Barcelona tayari amekubaliana na timu hiyo ya London.

Nafasi ya Conte kubaki The Blues ni finyu baada ya vipigo mfululizo vya 3-0 nyumbani mbele ya Bournemouth na baada kupigwa 4-1 na Watford Jumatatu.

Na kutokana na Chelsea kujiweka kwenye mazingira magumu ya kumaliza kwenye nafas nne za juu, mmiliki Roman Abramovich anaweza kulazimisha hatua ichukuliwe mara moja.

Na taarifa zinasema anaweza kumpa kocha huyo mwenye umri wa miaka 47 mkataba wa ambao utamalizika mwaka 2020.

Enrique, ambaye pia amewahi kufundisha Roma na Celta Vigo, yuko huru baada ya kuondoka Barcelona msimu uliopita, wakati alipokuwa Nou Camp aliiongoza Barca kutwaa mataji mawili ya La Liga, matatu ya Copa del Rey triumphs and glory in the 2015 Champions League final.

Mechi ya kwanza yla Enrique baada Februari 20, kabla ya kusafiri hadi Katalunia Machi 14 kwa mchezo wa marudiani.


Facebook Twitter

Match Highlights                  

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.