Bongo Fc


Mourinho adai 'tusingefunga bao hata kama tungecheza kwa saa kumi'

Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa klabu yake isingefunga bao hata kama ingecheza kwa saa kumi baada ya upande wake kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Newcastle.

Bao la dakika ya 65 la Matt Ritchie lilisababisha The Red Devils kushindwa kwa mara ya tano msimu huu. Sasa Manchester United wako nyuma ya Manchester City kwa pointi 16.

Meneja huyo wa zamani wa Chelsea alisema kuwa, Newcastle walicheza kama wanyama kushinda nyumbani kwa mara ya kwanza tangu Oktoba.


Facebook Twitter

Match Highlights                  

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.