Bongo Fc


mashabiki bayern kuchuhudia mechi uwanjani wakiwa vitandani mwao

Klabu ya Bayern Munich imeingia mkataba na hoteli maarufu ya Courtyard by Marriott kutengeneza vyumba ambavyo vitawawezesha baadhi ya mashabiki wake kushuhudia mechi zake kwenye Uwanja wa Allianz Arena wakiwa kitandani.

Hoteli hiyo itajenga uwanja huo ambao sehemu ya vyumba vyake vitakuwa vikiangalia sehemu ya uwanja huo.Hivyo watakaopanga, pamoja na kupata huduma ya kulala, watakuwa wakipata nafasi ya kuangalia mechi uwanjani hapo wakiwa vyumbani mwao.


Facebook Twitter

Match Highlights                  

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.