Bongo Fc


Makala                                                                                                        

Tatizo ni Zidane au Ronaldo?

ni kama upepo mchafu umeendelea kuvuma kutoka upande mmoja wa santiago bernabeu kuelekea upande mwingine. ni kama daraja la wafalme wa nchini hisp...         


Uchambuzi: Rekodi zinaonesha Klopp atawafanya mumsahau Coutinho

tayari philippe coutinho amesaini mkataba wa kuitumikia barcelona hadi mwaka 2023 huku wiki 3 za mwanzo atakuwa nje kutokana na majeruhi, hii ni h...         


Jesse Lingard ndani ya 'gemu' hizi 5 zilizompa ustaa Old Trafford, EPL

nyota jesse lingard ameibuka kuwa staa mpya kwenye kikosi cha kocha jose mourinho. fowadi huyo ameshapachika mabao saba katika mechi tisa ziliz...         


Guardiola katika ufalme mpya Ulaya

kocha wa manchester city, pep guardiola, ndiye anayeonekana kuwa na mafanikio ya haraka na makubwa ndani ya muda mfupi ikilinganishwa na baadhi ya...         


Makala: Mo Salah ‘Messi wa Anfield’

wapinzani wana kazi mbili kubwa za kufanya siku hizi wanapokwenda anfield. kwanza ni kucheza dhidi ya liverpool na pili ni namna ya kumzuia mohamm...         


Kumbe Madrid ndio zao kusajili ‘magarasa’ Januari

tayari presha ya usajili wa dirisha dogo la januari imeshaanza na baadhi ya timu zimeanza kunasa saini za wachezaji zinaowataka. real madrid wa...         


Uchambuzi: Hili dirisha dogo litawaumiza sana watu

asikudanganye mtu, utamu wa soka barani ulaya huanza nyakati hizi. uwanjani kinapigika, ofisini kinapiga pia. nani kucheka nani kuumizwa kwenye us...         


Macho yote Urusi 2018

karibu mwaka 2018 ambao umesheheni matukio mengi ya kimichezo. ni mwaka ambao kama taifa tunatarajia kuvuna medali kibao katika mashindano ya jumu...         


Hongera TFF kwa kupata udhamini huu, lakini...

shirikisho la soka tanzania (tff), limepata udhamini wa vifaa vya michezo wenye thamani ya takribani sh bilioni 1.9 kutoka kwa kampuni ya macron y...         


Kuna De Bruyne wa Guardiola, halafu kuna Salah wa watu wote...

na: omary ramsey naheshimu kipaji cha kevin de bruyne. ni mchezaji wa kipekee sana. ni kocha gani duniani asiyependa kuwa na mchezaji wa aina y...         


Makala                 

Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.