Bongo Fc


Makala                                                                                                        

Moto wa Valverde mnauona lakini?

na: omary ramsey ni mapema sana kumtaja bingwa wa michuano ya champions league mwaka huu. kuna timu zinazoonekana kweli zimepania kufanya maaja...         


Yanga vs Simba.. Ugali moto, mboga moto!

kutokana na viwango vya soka vilivyoonyeshwa na yanga, simba kwenye mechi zao mwishoni mwa wiki iliyopita pamoja na takwimu walizokusanya baada y...         


Ni lini mpira wetu utaenda mtandaoni?

na: omary ramsey dunia imekuwa kijiji. siku hizi unaweza ukampata mwanamke mtandaoni, mkapendana, mkaelewana, mkagombana na mpaka mkaachana bil...         


Asikwambie mtu Mavugo anapendwa Simba!

kama ulidhani mashabiki wa simba wamemsahau mshambuliaji wao wa kimataifa wa burundi, laudit mavugo, kutokana na ujio wa john bocco, unajidangan...         


Makala: Hili la Simba na Yanga sasa limekuwa sugu

na: omary ramsey email: omaryramsey@gmail.com ni siku nyingine tunakutana katika makala za soka kutoka bongofc pekee, kumbuka makala hizi ni...         


Uchambuzi: Okwi ni Okwi tu

na: omary ramsey emmanuel okwi, kwa mara nyingine amezidi kuthibitisha thamani yake ndani ya simba, baada ya kuiwezesha timu hiyo kurejea kilel...         


Cheki yaliyoiteka Ballon d’or 2017

na: omary ramsey ukiiangalia orodha ya nyota 30 waliochaguliwa kuwania tuzo ya ballon d’or mwaka huu, ni sawa na kusema itakuwa vita ya wakal...         


Miaka miwili ya Jurgen Klopp, Liverpool

na: omary ramsey wikiendi hii jurgen klopp atawaongoza vijana wake kuivaa man united nyumbani kwenye mchezo wa premier league, ikiwa ni wiki ya...         


Hivi ndivyo Ferguson alivyokataa kumnunua Zinedine Zidane, katikati ya miaka ya 1999

na: omary ramsey kumbe mashabiki wa manchester united wamekosa mengi. siri imefichuka. bosi wa zamani wa manchester united, martin edwards amed...         


Griezmann: ‘Bishoo’ anayesumbua Ulaya

mwaka 2014, atlético madrid ililipa dau la euro 30 milioni kwa klabu ya real sociedad kwa ajili ya kupata huduma ya antoine griezmann. griezma...         


Newsletter                           

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every time we post.